Hawo wazungu wanaoonekana katika video hii ni watalii kutoka marekani wakipiga mbizi kwenye eneo la Mwambakuni mjini Bagamoyo kwa madhumuni ya kuangalia viumbe hai vya baharini pamoja na bustani za matumbawe.Safari hiyo iliandaliwa na muungozaji wataliia mr michael shija na kuongozwa na mr Universe muongozaji watalii na mkufunzi wa wangoza watalii Tanzanian.Baada ya kurudi walisifia sana kutokana na kuona viumbe vingi vya bahirini kama matumbawe laini na magumu,nyasi bahari, fuma,samaki wa mwambani kama kikande,pono kiti cha pweza nakadhalika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni